YATANIUA Sehemu ya 9

YATANIUA Sehemu ya 9

🌦️ Mwandishi:lissa mwalla Nilijikuta kifuani kwake, kijana nikimtizama hapo simu iko kwenye nyasi za ng'ombe, nikajikuta nasema polee, kisha nikajistukia kijana anacheka, nilijiskia raha kuwepo mwilini mwake had nikajisahau, nikiwa namtizama akacheka na mm nikacheka huku najitoa mwilini mwakwe, nikasema asante kwa kuniokoa, akasema karibu, nikasema ww uko hapa? Niliongea huku natafuta simu, yy aliangalia akaiona akaichukua akanipa, nikasema asante. Nilikosa pozi kabisa nilitamani sijui nifanyaje, akasema yea nipp hapa kwa miezi minne sasa. Nikasema mbona sijawahi kukuona unaitwa nani? Akasema Leon. Nikasema okay nimefurahi kukuona. Akatabasam.mm nikawa narudi nyuma huku nikiona hata Leon akasema usirudi tena nyuma m nikarudi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments