YATANIUA Sehemu ya 10

YATANIUA Sehemu ya 10

Mwandishi:lissa mwalla Hii n aibu ya mwaka aisee, nilitetemeka, tukijizoazoa pale na nguo tukajistiri baba alifoka akasema ww kijana toka nyumbn kwangu sitaki kukuona hapa shenzi kabisa nilikuajir uje ufanye ufuska ndani kwangu? Huna adabu toka nyumbn kwangu maskin wa kutupwa ww yn ww maskin mchafu unadiliki kutembea na binti yangu si ndio?tokaaaa nitakuua , leo. Alianza kuondoka maskin akiwa hana usemi kitendo cha kukaribia alipo tristan t alimshika na kumpiga ngumi uson Leon alimuangalia tu t akataka mpa ingine Leon aliidaka na akasema imetosha sasa akaanza kuondoka zake, baba alinigeukia mm muda huo natetemeka aibu na hofu, akasema nn

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments