
WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,,,,. 9 "Amepitia huku ," Mwalimu mmoja aliwaambia walimu wenzake wakati wanamkimbiza Celena , Wanafunzi waliwashangaa walimu wao jinsi wanavyokimbizana nyuma ya shule , Celena alizunguuka nyuma ya choo cha wanawake lakini hakumuona huyo Celina akawaza haraka akajua kwa vyovyote Celina atakuwa amekwenda kule shuleni kwao kwa sababu alishaendaga na akafanya mtihani ,haraka akazunguuka nyuma ya shule na akaingia darasani kwao na kuchukua begi lake na kutimua mbio , wanafunzi wenzake walimcheka tu bila kuelewa Celena anajambo lake kichwani , na ukumbuke hapo wapo darasa la Tano , Wakati Celena anatokomea zake kuelekea shuleni Celina nae
0 Comments