*SEKRETARI NANAH* SEHEMU YA 1️⃣6️⃣

*SEKRETARI NANAH*  SEHEMU YA  1️⃣6️⃣

Imeandikwa na Salma Rasheed Ramadhani Mawasiliano: 0763 595006 Kujiunga na Channel yangu ya WhatsApp : https://whatsapp.com/channel/0029Vb5TUYyG8l5677chYs0Y *ONYO* Hauruhusiwi kunakili simulizi, kufuta au kuongeza kitu chochote bila idhini yangu. KARIBU Alifika mahala pale na kuutoa mchoro wake ambao unafanana na ule Alioweza kuonyeshwa na Bob. Aliufinyanga finyanga na kuutupia kwenye Dustbin huku akivuta pumzi nzito kwelikweli. Bieber alimtizama na kujua kabisa hilo limemuumiza Nanah. Alichukua karatasi na kuchonga penseli kisha na yeye moja kwa moja alianza ku draft mchoro. 👠👠👠👠👠👠👠👠👠 Baadae kidog Doy alikuja ofisini na hapakuwa na yoyote kabisa. Aliona karatasi lililo viringishwa viringishwa likiwa ndani ya Dustbin na alilichukua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments