SEHEMU YA 53: NILIZANI MWIZI KUMBE MMMM💘💐💘

SEHEMU YA 53: NILIZANI MWIZI KUMBE MMMM💘💐💘

Basi mie naliangalia hilo zeee lilivyo nakasirikaaaa basi tu nitafanyaje kwasasa kila kitu changu ndio anacho yeye sasaaa .... Alex alianza kumuelezea yule mzee mahusiano ya yeye na juddy mwanzo mpaka mwisho mpaka alipo nipata mimi, na kuamua kuachana na juddy visa vya juddy mpaka ile mimba na hata kujua mtoto sio wake, alex aliongea katulia sana akafanya nikumbuke mbali mnooo , nami machozi yalikuwa yananitoka tu Baada ya kumaliza kuongea alimuomba sana sana sanaa atusaidie huku akiendelea kumtamanisha pesa zingine kama tu nitapona Tule babu hata hakuuliza swali lingine alishusha pumzi huko likionesha tamaa ya wazi kabisa "Inuka !"

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments