DAAAAAAAH šŸ’‹šŸ™ˆ19

DAAAAAAAH šŸ’‹šŸ™ˆ19

By Simulizi za john 0789 824 178 Wala sikutaka kusema uongo🤣🤣nilimwambia mama mimi tumbo haliniumi.. Mama akashangaa😳ikabidi nimwambie Jana niliogopa kulala na Bill ndo nikamdanganya tumbo linaniuma ila tumbo langu mimi haliumi.. Ooo mama alishusha pumzi😪 akaniambia sawa lakini usiogope mwanangu nenda kampe mumeo haki yake utazoea tu taratibu okay.. Nikamwambia sawa mama😪 tuliagana mama akanitakia kila la kheri😰nilienda chumbani kwangu haikupita muda Bill alikuja. Nilijifanya nimesinzia😪alivua nguo akapanda kitandanišŸ™ˆalisogea karibu kabisa namimi akaniwekea mkono Mi nikatulia alinipapasa kidogo nikatulia tu kama niko usingizini 😪aliamka akanitikisa kidogo nikakaa kimya . Alinikiss akaamua kulala nilijikausha mpaka asubuhišŸ™ˆ niliamka mapema nikaenda kusalimia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments