NIPE YOTE DADY💞💞💞34~35

NIPE YOTE DADY💞💞💞34~35

Tuliishia pale ambapo kipenzi chetu Norah alikuwa anawaza kuondoka kwenye maisha ya selim awaachie uwanja selim na Jeni waenjoy huba lao.. Usiku baada ya selim kurudi kabla Norah hajamgusia swala lake selim pia alikuwa na lake ikabidi Norah amsikilize kwanza yeye ana lipi?? "Norah "aliniita Selim na nikaacha ninachokifanya kwa ajili ya kumsikiliza akasema "kuna kitu naomba tuongee' "yes nakusikiliza " "kwanza kabisa nitangulize samahani kwasababu hivi karibu tumekuwa hatuko sawa "nakiri nimekuwa mtu wa hasira sana ila ilikuwa ni kipindi kifupi tu so please nisamehe sana" "naelewa selim hukuwa na hela ndio maana ulikuwa vile na nilielewa ndio maana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments