
______________________________________ Niliogopa huyu mbona anavua tena, hee uwiii🙆, Jeon basi baba nenda tu sitaki tena kukuuliza chochote we nenda tu, " J usinipime haswa ukiona nimebadilika, kwa leo nakausha, ila ukiludia nitakufundisha namna nzuri ya kuongea na mimi, nini uulize na nini usiulize, nini ujibu na kipi usijibu, alivyomaliza akabeba mkoti wake mkononi, huyo akasepa nyie mmmh naonewa jamani sijui ni huu udogo wangu 😭, nilifunga milango na mageti nikaingia kulala... Upande wa jeon alifika getini akaingia bila shida mlinzi anapewa pesa kiasi kwamba, anamchukulia jeon kama boss wake,muda wowote akitaka kutoka hakuna wakumzuia, alifika bwenini kwake akiwa na hasira
0 Comments