
"Unataka kujua Norah ni nani siyo? Haya njoo nikuoneshe.."selim alimshika Jeni mkono na kwenda hadi chumbani kwao.." alifungua kabati na kutoa briefcase ndogo na kufungua kisha akatoa album na kumkalisha Jen kitandani kisha akamkabidhi Album Jen alipokea huku akitetemeka.. Alipopokea alifungua picha ya kwanza kukutana nayo ilimfanya agande kwa mshangao😌😌 Ilikuwa ni picha yetu ya harusi, Jeni alihisi kama hajaona vizuri akafungua nyingine na nyingine album nzima ilikuwa imejaa picha za matukio ya harusi yetu mimi na Selim. "Jeni hakuamini alihisi anaota...alimuangalia Selim huku machozi yakimtoka na kumuuliza, "Ina maana wewe na Norah sio ndugu?? Wewe na Norah ni mke
0 Comments