NIPE YOTE DADY💞💞💞37

NIPE YOTE DADY💞💞💞37

Baada ya dawa kushindwa kumsaidia Jeni alifanya uamuzi wa kwenye kuinyofoa mi mba yake moja kwa moja hospitalini.. Kwa bahati mbaya zoezi lile lilienda tofauti kwani Jeni alitokwa na dam nyingi nakupelekea kupoteza maisha🥺💔 Jeni aliaga dunia habari yake iliishia hapo... Taarifa ya kifo cha Jen ilimfikia Selim zilikuwa ni taarifa za ghafla na za kushangaza.. Selim aliumia mno💔💔😢Jeni alipumzishwa katika nyumba yake ya milele nilienda msibani nikiwa nimeificha sura yangu sikutaka kuonekana kwa mtu yeyote.. Nilimuona Selim aliekuwa katika upweke wa hali ya juu💔nilimhurumia sana nilitamani nimfuate nikamtie moyo lakini tyr nilishaamua kukaa mbali acha nitulie nione mambo yatakavokuwa..

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments