
WHEN A MAN LOVES SEHEMU YA 07 Akaanza kusema kuwa “ naomba usije ukaacha kazi maaa najua haujui mimi nikichaa kiasi gani..Iyan aliona sms zinakuwa blue tick ila hazijibiwi, akatuma sms nyingine inasema, “ ukiacha kazi hakikisha unanipa pesa yangu cash sitaki maswala ya kusubirishwa wiki nzima, sitaki kupokea pesa za udangaji mimi, ila pia ilisomwa na silavina hakujibu… Iyan akaanza kupiga simu sasa kama mtu aliechanganyikiwa, ila hakuna simu hata moja ambayo ilipokelewa, akajikuta anaanza kupatwa na wasiwasi, akahisi labda kile ambacho amemfanyia huenda silavina atataka kujiua, akaenda mpaka kwenye mlango wake na wakati huo mudaulikuwa umeshaenda tayar, na
0 Comments