
wassap:0786796363. Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi mimi sasa ndo nikawa naung'ang'ania mkono wa mwanaume jamani. Yani mie ndo sitaki kumuachia mpka akaguna ila kiume ndo kama nilistuka nikamuachia.nikasema ooh samahan james akiri alikuwa mbali sana. Akatabasamu akanambia usiwaze wala nini.wewe nenda kapumzike nikasema sawa kipenzi . Basi tukaaagana kisha mmi nikaingia room kwangu .mh mbona nishakuwa sijielewi tena kwa uyu kaka.sasa mbna na mimi nataka kuwa kama jovin nataka kusaliti ndoa oooh pepo toka. Nikaenda kujimwagia maji ksha nikapanda kitandani .mh simu inaita alafu yeye ndo anapiga .yani james ndo alikuwa anapiga Badi nikavuta ile simu kisha nikaipokea nikasema hallow. Akasema
0 Comments