
Aggy alivyokata akanambia tulia na usilie nase, nakutengemezea mazingira ya kumfanya nollan awaze, sio kwamba mm nimekuchoka no, ay nitakufukuza hpana, we kua na amani kabisaaa, nikasema sawa, basi hii siku ata sikushinda vizur , yani mawazo yalinijaaa mnooo, aggy akatoka akaenda kuzulula ,akarudi na unga tu, apo tangu asubuh atujala, akanmbia shogaaa mpaka hii jioni sina kitu leo tukologe uji, nikasema.sawa aggy aala hakuna shida ,basi ile aggy ananyanyuka akapike mana gasi ilikuepo, simu yake ikawa inaita alafu anayepiga simu ni nollan, aggy akanmbia nollan ndo anapiga ebu ngoja nimpokelee nimsikilize anataka kussema nn, aggy akapokea aksema nn ww,
0 Comments