
taarifa zinasema zuchu alidai wagawane mali na diamond platnumz, lakini walipo kaguwa hakimiliki zote walikuta kila kitu diamond kaandika jina la mama yake yani kuanzia magari, nyumba na lebo zote za wcb zimeandikwa jina la mama yake.
Wewe unaonaje , ni busara kuandikisha mali kwa jina lako au kwa jina la mtu unayemuamini ili kuzilinda na mambo kama hayo? 👇🔥
#DiamondPlatnumz #Zuchu #BongoFleva #Udaku #TrendingNow 🔥
Soma zaidi
0 Comments