
Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA nikavuta kiti nikakaaa. Na joel akaka .tukasalimia pale fresh kabisa mimi wala sikupanika kabisa. Joel aliningalia unajua joel alishakuw anajua kuwa nna hisia na sanura akaningalia sana. Mi wala sikupanik kabisa. Na sikujali ila rohooo inauma unajua uyu demu kuna jinsi mi namuelewa sana ni basi tu demu mwenye cha wote. Akaja waiter nikaagiza bia moja tu.ally alikuwa pale akanmbia daaah joel kakushauli na nn wewee mpaka umekuja. Joel akasema hakuwa ata anataka kuna si unamjua nillan .nilimchenga tu anipe lifti mimi sikuta kupoteza pesa ya tax na gari yangu imebuma .ally aksema kumbe ndo
0 Comments