MCHEZA CHURA Sehemu ya 40

MCHEZA CHURA Sehemu ya 40

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Mala naona simu yangu inaita tena . Nikapokea alikuwa ni sanura. Akasema nillan mbona u anisumbua jamni ww unifahamu mm nikasema mimi sipo ofisini kwanza nimetoka so ningoje apo mapka ntakapokuja.akanmbia nillan mbona unanifanyiia hvyo kwaiyo umenileta uku kunipotezea mda kwann si umeshanipiga jamani. Naomba simu yangu basi mimi iyo ndio kila kitu. Naomba simu yangu bwana. Nikasema bwana nimeshwawambia mm sipo usilazimishe sasa. Akanambia saww mi nakuongoaja apa. Basi akaa nje uko. Nikaafanya kazi zangu zote yani mpak saa 11 ndo natoka ofsini namkuta amekaa ananingoja. Kavaaaaa baibui kapendeza vizur na ushungi.nikajua hana lolote

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments