MCHEZA CHURA Sehemu ya 44 na 45 mwisho wa s2

MCHEZA CHURA Sehemu ya 44 na 45 mwisho wa s2

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Basi SANURA. akanmbia lakini mi naona kama.sistahili kuwa na ww. We ni kijana mzuri sana nillan. Mi naona kma.ntakuaibisha. nikasema no hapana hakuna kitu kama hiko kabisaa. Uniaibishi na hujawahi kuniaibisha ila mm nakupenda sana we mwanamke. Naomba tuache kufikilia watu sasa. Nataka tujifikilie mimi n wewe. Plsssss nataka tujifikie mm na ww. Nakupenda cha muhimu tu ubadilike .uache kabisa uliyokuwa unayafanya plsss mama.. akanmbia sawa ntabadilika na naacha kila kitu kwa ajili yako nillan nakupenda sana.nikamkumbatia ukaanza na kulia nikawa nambembeleza na nikamtuliza. Akanambia sijuh ntawaangaliaje marafiki zako. Nikasema achana nao kwa sasa. Apa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments