MCHEZA CHURA Sehemu ya 43

MCHEZA CHURA Sehemu ya 43

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Nikamuuliza so sure upo nyumbani apo. Akanmbia ndio nipo tu home .nikamwambia nakupigia video call akanmbia sawa piga tu. Na kweli nikampigia video call. Kweli mtoto yupo chumbani kwake. Mana niliona kuna picha zake. Aseeee nikafurahi sana.nikamwambia sasa sikia nakufata nataka tukale sehemu mi nna njaa jiandae haraka alafu usivae nguo fupi sawa? Akasema sawa hakuna shida na kuwa na amani kabisaa.basi mm nikavuta pamba zangu nzuri kabisa. Nikatoka sasa chumbani kwangu. Basi ile natoka nakutana na aida yupo seblen alikuwa anachezea simu Akaniuliza wapi. Nikamwambia si naenda kutafuta chakura we si umeninyima chakura sasa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments