
WHEN A MAN LOVES SEHEMU YA 04 Basi silavina akaenda na junior mpaka nyumban kwake, alipofikishwa akamshukuru sana junior, ila junior ni kama alikuwa anaonekana anataka kuendeleakukaa nae, na silavina hakumzuia maana alikuwa ni rafik yake wa muda mrefu sana na wamekuwa ni watu ambao wakiheshimiana kwa kipindi chote ambacho walikuwa karibu, basi akaingia ndani kisha akjamuandalia juice wakanywa pale na baada ya hapo junior akaaga zake, sasa kumbe baada ya silavina na junior kuondoka pale kwenye clinic iyan akaanza kuwafata nyuma, sasa alichelewa kidogo hivyo hakuona wakati junior anaingia ndani na silavina ila alishangaa kumuona junior anatoka usiku kama
0 Comments