MOYO UKIPENDA 05

MOYO UKIPENDA 05

WHEN A MAN LOVES SEHEMU YA 05 Iyan akacheka kisha akasema “ kamaunataka kuacha kazi nilipe na sio unajiongelesha hapa unafikiri mimi ni sawa na hao wanaume wako ambao hata kuoga hawajui…. Silavina akaona asiendelee kubishana nae, akaanza zake kuondoka maana aliona kama kukaa pale ni kujitakia mwenyewe kutukanwa na kudhalilishwa tu…. “ shenzi nani amekupa ruhusa ya kuondoka wewe Malaya, nani amekuruhusu unipuuze, yaan unataka kuondoka huku mimi naongea, ndivyoulivyofundishwa na mama yako hivyo akawa anasema iyan…. “ samahan sana boss naomba usimuhusishe mama yangu kwenye matatizo yangu mimin na wewe, naomba kama unanitrukana nitukane mimi na sio mama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments