WHEN LOVE CHANGED HIM 20

WHEN LOVE CHANGED HIM 20

WHEN LOVE CHANGED HIM SEHEMU YA 20 TULIPOISHIA Naongea na wewe kwa upole usitake kunipanda kichwani niambie Jana ulikuwa wapi hadi ukachelewa kutoka kazin?" "Duh haki ya Mungu mume nimepata , hivi kwann kipindi hatujaoana hakuwa na gubu kiasi hiki mbona tunataka kupelekana kama gari bovu nimekwambia nilikuwa kazin ila unakazana kuuliza swali hilo hilo, unataka nikwambie nilikuwa lodge au" "Sawa kama ulikuwa kazin kweli lala ila kuwa makini sana hii ni dunia,usiku mwema" TUENDELEE Walilala asubuhi waliamka Kwa pamoja "Usitoke humu ndani kama hujaosha hivyo vyombo " "Hee saizi asubuhi nianze kukimbizana na vyombo Hapana kama kuosha nitaosha nikirudi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments