MOYO UKIPENDA 06

MOYO UKIPENDA 06

WHEN A MAN LOVES SEHEMU YA 06 Basi siku hio silavina alifanya kazi zake na Yule mwanamke ambae alikuja akawa yuko busy na iyan na hio ndio ikawa kama salama yake, kwa maana hakumuona iyan kabisa mpaka jioni, sasa wakati anaenda nyumban, anafika tu sehemu ambayo alikuwa anaishi anashangaa anamuona iyan amesimama mlangoni akataka kuondoka maana hakutaka kubishana nae, ila iyan akamuona akamuita…“ unaenda wapi wewe changudoa na wakati nimeshakulipa au hautaki kunihudumia, akasema iyan kwa sauti kubwa kidogo na wakati huo haikuwa usiku sana sasa watu wakawa wanapita pita tu eneo lile…. Silavina akawa kimya tu, ila iyan akaanza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments