MOYO UKIPENDA 08

MOYO UKIPENDA 08

MOYO UKIPENDA SEHEMU YA 08 “ Yaan anathubutuje kubeba mimba, wakati wote huo yan akawa analamika huku anaondoka zake, na silavina akawa anajifanya kama hajali vile ila alipoondoka akaanza kulia, kisha akampigia simu junior na kumueleza kila ambalo lilikuwa linatokea na junior akamuahidi kuwa kesho yake atamtafutia hio pesa na kumuhamisha silavina mana hataki kumuona anaendelea kuteseka …… Basi ingawa ni kwa tabu na majonzi makubwa silavina alipata usingizi kwa shida sana, maana matukio ambayo alimfanyia iyan siku hio yalikuwa yanatembea kichwani kwake kila wakati, ila mwisho akapata na usingizi na akalala zake mpaka asubuh, na kulipopambazuka hakushtuka akaja kushtuliwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments