
MOYO UKIPENDA SEHEMU YA 09 Basi hao safari ikaanza, wakaenda mpaka kwenye ile clinic ambayo alikuwa anafanya kazi iyan, na kwa mbwembwe za hali ya juu, junior akawa anamfungulia mlango silavina na wakati huo iyan alikuwa nje, kuna mteja alikuwa anamuhudumia, iyan alipowaona alitoa jicho huyo, kisha akaacha kazi ambayo alikuwa anaifanya na kuanza kuwaangalia kwa umakin mkubwa…. Silavina alikuwa amependeza sana, na mwanaume yoyote Yule rijal asingeweza kuacha kumtazama endapo angepita pemben yake, na hata kwa iyan ilikuwa hivyo hivyo, ni kama moyo wake ulilipuka kwa furaha baada ya kumuona silavina, maana alijifanya hamtafuti ila ukweli ni kwamba alikuwa
0 Comments