MOYO UKIPENDA 10

MOYO UKIPENDA 10

MPYO UKIPENDA SEHEMU YA 10 Basi siku hio ilipita na iyan alilala nje ya nyumba ya siloavina mpaka asubuh, yaan alikuwa kama amechanganyikiwa, hakuwa anawaza kabisa kuhusu clinic yake hakuwa anapokea simu ambazo alkuwa anapigiwa na wateja, hakuwa hata anataka ukaribu wowote ule na mtu, maana alikuwa anaona kama kumuacha silavina bila kumfuatilia ni kama kosa kubwa sana ambalo hakuwa anataman kulifanya…. Mwanzo silavina hakuwa anajua kama iyan anamfuatilia mpaka siku moja akiwa ametoka na wenzake wa pale kazin wameenda kula, ndipo akamuona iyan anamejificha na gazeti, ila mtu ambae unamjua ni una mjua tu, na mmoja wa wafanyakazi wenzake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments