MOYO UKIPENDA 11

MOYO UKIPENDA 11

MOYO UKIPENDA SEHEMU YA 11 ‘ una maanisha nini, kwamba mimi kukusaidia ndio nimegeuka mlinzi au sio, akasema iyan kwa sauti ya ukali kidogo…. “ wewe mwenyewe unajua kabisa ninachokimaanisha, sidhan kama unatkiwa kuendelea kujifanya mtoto bana, akasema silavina huku akiwa anauendelea mkoba wake wa iyan kisha akauchukua ila kabla hawajaondoka mara likasimama gari pemben yao, akashuka mama yake na iyan akaanza kufoka….. ‘ kuna jambo gani la muhimu sana kwa huyu mwanamke?, kuna umuhimu gani wa kumfatilia huyu mwanamke na kuacha kazi zako za msingi? Yaan naambiwa hii ni wiki ya pili haujafika kazin, na e embu jiangalie unakumbukaga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments