MOYO UKIPENDA 12

MOYO UKIPENDA 12

MOYO UKIPENDA SEHEMU YA 12 Akawa anamsogelea silavina na alipofikan karibu yake akaanza kumkiss, silavina akawa anamzuia, ila akawa anatumia ubabe wake kumbusu kilazima huku akiwa anasema ‘ najua unajiuza, sasa kwanini unakataa kunihudumia mimi, nihudumie bana na usijal siwez kumuambia mtu kama umenipa utamu…. “ acha kunidhalilisha iyan, akawa analalamika silavina huku akiwa anamtoa iyan mwilini mwake… “ nakudhalilisha? Embu nambie nakudhalilishaje na wakati unajidhalilisha mwenyewe, kwani mimi ndio huwa nakununua, kwani mimi ndio navunjaga uaminifu au ni tama zako huwa zilikuwa zinakusumbua mpaka ukawa unajidhalilisha mwenyewe, naomba usinisingizie bana , siwez kukudhalilisha mimi, akasema iyan kisha akamshika silavina

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments