MOYO UKIPENDA 19

MOYO UKIPENDA 19

Alikuwa kapoteza fahamu na ukweli ni kwamba hakuw anajitambua, na kulingana na madaktar inasemekana kuwa alikuwa anatakiwa kukaa pale kwa angalau mwezi mzima na anaweza asizinduke kwa zaidi ya wiki mbili, kwa maana kwa wiki mbili nzima anaweza kuwa hajitambui na yupo hospital…. Alikuja Yule mwanamke ambae alikuwa anampenda iyan, akakaa kitandan kwa iyan kisha akaanza kulia na kusema “ kwanini lakin umeamua kufanya hivi, ni kweli ulikuwa unampenda Yule mwanamke kwa kiasi chote hichi mpaka uamue kumpa moyo wako, naomba nisamehe sana iyan, maana nilikuwa nataka kumuangamiza mwanamke ambae niliamin kuwa kwa kutokuwepo kwake huenda ukanipenda, kumbe nilikuwa nakuangamiza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments