
Basi iyan akapata fahamu na mara baada ya kupata fahamu jina la kwanza kuliyaja lilikuwa ni silavina, akaanza kuulizia silavina yuko wapi, ila madaktari wakaanza kumzuia maana bado hakuwa sawa kiafya, akaanza kuleta usumbufu mpaka ambapo walimcjoma sindano ya usingizi, basi akalala zake…. Junior alikuwa anasumbua sana madaktar kutaka kujua silavina yuko wapi, ima awe maita au hai, ila alikuwa anataka kumuona tu, ila hakuwa anapewa jibu la moja kwa moja…. Iyan alikuwa kila akipata fahamu anadungwa sindano nyingine maana alikuwa analeta vurugu sana, mwisho akaanza kuambiwa kuwa asipokaa sawa basi hatoambiwa silavina yupo wapi maana yuko hai, na hawez
0 Comments