
🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Nilimsukuma Robert kwa nguvu kidogo. “Robert niache!” nilisema kwa hasira”😡 Yeye akatabasamu tu kama mtu aliyekunywa soda ya bure. “Eve… unajua wewe ni mzuri sana?” alisema huku akinitazama machoni “Kwahiyo?” Nikakunja uso “Nimekupenda toka siku ya kwanza nilivyokuona. Please… kuwa mpenzi wangu.” Nikabaki nimemkodolea macho kwa sekunde kadhaa kisha nikasema “Koma!……..Mimi ni mke wa mtu” “Iyo sio ndoa ya kweli” Robert akacheka kwa dharau Kisha akaongeza “Na wala humpendi Dalton. Unaigiza tu” “Nampenda Dalton! Wala siigizi!” “Baada ya kuonja maisha ya hela ndiyo umeanza kumpenda?” alisema kwa kejeli. “Ushaanza kuvaa kama mwanamke sasa unajifanya una upendo wa kweli”😒 “No!
0 Comments