MY BOSS Sehemu ya 5

MY BOSS Sehemu ya 5

Mwandishi:lissa mwalla Mkaka alinivutia alivyo na alivovaa kama mmarekani simple lkn kapendeza, Doreen akamwambia mhudumu kamshukuru mwambie asante sana, mhudumu akasema poa, akaondoka Doreen akasema shogaa tuna kismat blaa, nikasema kwani nani yule? Akasema yule kaka kwao n matajir kinomaa kaka anamapozi kaka anahela nashangaa kuja maeneo haya ya kawaida leo mana n VIP anatokaga na wadada warembo na wasanii leo katupa ofa shoga angu sijui n ww au mimi mmh ila leo tunakismat. M nikacheka tu nilishampenda sana. Nikasema wee kumbe? Akasema ndio akasema yn ni anapoz huyo hatari nimeshangaa mnoo leo. Nikasema anaitwa nani? Akasema anaitwa Logan, nikasema

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments