MY BOSS Sehemu ya 4

MY BOSS Sehemu ya 4

Mwandishi:lissa mwalla Nilichanganyikiwa sikujua cha kufanya, niliishia kulia tu. Mpangaji mmoja n mkaka akaja akanikuta nje akasema inaya nini shida. Nikamwambia dada hapatkan hajarudi na tumefukuzwa sijui kwa kuanzia ni wapi. Akasema pole sasa gwantwa nae kapatwa na nini? Nikasema sijui hata kapatwa na nini mimi hapatkan dadangu. Yule kaka akasema ebu tusaidiane kubeba hiv vitu kwanz tuingize kwangu bisije nyeshewa hapa kisha tutafakari nini tufanye nikasema saw asante sana. Tukasaidiana kubeba vitu tukamaliza. Yule kaka alikua na vyumba vitatu, tulivomaliza tukakaa seblen kwake akasema inaya pole usilie, umekula lkn? Nikasema hapana, akasema kuna chakula hapo nilipika pasha afu ule

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments