
23 MPAKA 27 SEASON 2 🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚🐚 Mwandishi ; LISSA Nikampigia kwanza shoga angu hadija ,haikuchukua mda akapokea simu yangu . Nikasema shoga nina shida uko wapi . Apo anaongea uku nalia . Hadija akasema wee naima kuna nini shoga angu . Nikasema nikasema nataka nike kwako sasa hizi . Hadija akasema nimeondoka kipenzi ila narudi baada ya week ,naenda nyumbani msibani ,daaah nikasema kwani funguo ukasema kwani ufunguo umebeba , akasema shoga umesahau shemeji yako yupo pale ebu nambie unashida gani, nikasema nitakupigia badaye . Yaani apo nilikuwa nishachanganyikiwa. Nikaanza kupigia wanaume wangu sasa ,wote wakawa wanatoa sababu yani hakuna
0 Comments