NAIMA ( MTOTO WA USWAZI) Sehemu ya 24 na 25

NAIMA ( MTOTO WA USWAZI)  Sehemu ya 24  na 25

🐚🐚🐚🐚 Nilikaa kwenye hii gest kwa siku 3 yani sielewi la kufanya ujanja wote kwisha nikawa nilo nipo tu . Adi kuna siku nilienda zangu kula ila sio kwenye ile gest nilienda tu sehemu nyengine kabisa palikuwa pazuri mno yaani , nikakutana na mdada nae alikuwa ameenda kula naona . Tulikaa meza moja maana naye alikaa siti moja na mimi tukaagiza chakula mimi niliagiza chips mishikaki na juice jamani ela nilikuwa nayo si nilikuwa nampuna Robert kipindi kile ,sema ilikuwa haitoshi kupanga kabisa labda chumba tupu bila vitu . Ndio maana nilikuwa naishi gest . Baasi chakula changu kililetwa nikawa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments