NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 148

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 148

Mwandishi; Lissa wa huru media Nikasema baby hii ni yangu, nolla akasema yaa ni yako mke wangu umeipenda ??, nikasema ndio nimeipenda sana ,ni nzuri mnooo, inanifaaaa jamani, nashukuru mwanaume wangu nashukuru sanaa, nollan akanmbia mi napenda ukifurahi nase ,yani ukicheka tu, mi nafurahi mwenzako naoata amani mnoo, ila ukinuna mh ata kazi haziendi mke wangu, yani nakuwa sipo sawa kabisaa, sasa unajua kwa nn nimenunua hizi pombe, nikasema hapan, akasema nataka nilewe kisha ukipie gari yangu, nikacheka sna ila nollan, mi namjua akilewa pombe zake zinakimbilia chini, nikasema sawa leo nakulipa baba bila ya shaka , akanmbia leo nataka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments