NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 149 na 150

NASERIAN ( BINTI WA KIMASAI) Sehemu ya 149 na 150

Basi bwana , shoga yenu nikaaanza kupambana na tumbo sasa, nashukuru zana mungu wala hii mimba haikuwa inanisumbua ataaa, ni ipoo kawaida tu , yani nafanya mambo yangu kabisaaa, yani ata kuumwa siumwi, chakura nakula na kinakaa, labda mie mwenyewe niwe na hamu ya kudeka, ndo najufanyaaa naumwaa, najidekeza dekeza ,na si najua wa kunidekeza yupp, basi nikiamka naumwa apoo nollan anachanganikiwa, mpaka nagoma kwenda kazini, yani nollan alikuwa ananipenda mnoo, na alikuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto, basi ndo akazidi, yani acheni, apooo naendelea na kujifunza kuendesha gari, na nikawa nishaanzaa kujua kabisa utanambia, basi bwana nikapambana na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments