
Mwandishi: Maggie Maggie My WhatsApp no 0744058444 Nilimuulita crisis mala moja na kumuambia kuwa tafadhari naomba nikuage sijaja kuomba kitu Kama kumlea nilimlea mwenyewe hadi kafika hapo alipo hivyo sihitaji kitu kutoka kwako Na shule anasoma ndio kaingia darasa la pili sio mtoto msumbufu kihivyoo nimtoto mpole na mwelewa nikimwambia kuwa umemkataa inatosha hautamsikia tena maishani mwako Crisis aliinuka na kuniambia kaira nani kakuambia uje bila kunitaarifu nyumbani hapa Nikamjibu kuwa mwanzo niliongea nawewe hukutaka nikutafute tena sasa nimeona sinahaja ya kuficha jambo Kwani hii sio siri nimaisha ya mtu niliona nibora uje umkatae akikuona hapa itatosha kwake kujua hana
0 Comments