NYOTA YANGU SEASON 2 SEHEMU 24

NYOTA YANGU   SEASON 2  SEHEMU 24

ENDELEA..... "Mama Yale Nadra huyu au?". Mwana aliuliza "Ndiyo". Mama mdogo alijibu. "Haaaaa! Shikamo". Mama aliitikia na kuuliza ni nani huyo. "Ni mama Samira mama". Nilimjibu mama, mama alimuangalia Kwa tabasamu. Mama mkwe wangu alimuomba mama pembeni wazungumze. Walienda juu bustanini kwaajili ya mazungumzo. "Kama unavyoona ndivyo ilivyo. Ameludi kafla tu Jana, tumeshangaa hata sisi kumbe alikuwa hai. "Hata hivyo ni jambo la kumshukuru MUNGU ila ninamuhofia mwanangu". "Ni kweli ila kuhusu Nadra usijali yupo mikono salama". Mama mkwe alimuondoa hofu mama yangu. "Mwanao ni Binti mzuri mno sijutii kumfahamu. Wallah najivunia sana Nadra kuwa mkwe wangu". Mama alifurahishwa na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments