
ENDELEA........ Kumbe mwana na Jafari wanajuana vizuri kabisa. "Kwaiyo tunafanyaje?". Jafari alimuuliza mwanamiss. "Hapa Cha kufanya kwanza kule usitokee Tena kwaajili ya masuala ya posa. Unachotakiwa kufanya ni kumsumbua Kila dadika usiweke mapumziko. Alafu endelea kumchuna Kwa kumtishia kunitokeza hadharani na kwakuwa familia inakujua kivingine wakijua kama umewai kuwa mpenzi wa Nadra na Nadra alilinyamazia kimya siku ya posa basi watachukia" "Chakufanya saivi ni kumchuna sana huku ukiendelea kumsumbua Kwa njia yeyote Ile. Tuhakikishe hapumui na akose amani kabisa". Mwana aliongea hayo. "Sawa nimekuelewa nakutegemea na wewe kwenye pesa pia. Usisitishe kunipa pesa ukijua nitapewa na Nadra". "Unapenda sana pesa
0 Comments