PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 02

PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 02

Uvumi ulishaanza kuenea kwamba kuna wanafunzi wanatoroka na kwenda nje ya shule kila siku kufanya biashara. Walimu Walijaribu kufanya uchunguzi wa chini chini lakini hawakutupata coz mimi na Purity tulikuwa makini vibaya mno. Baada ya kuona mambo magumu, mkuu wa shule aliamua kumpa kazi mwalimu mmoja ivii anaitwa Kyara, ila sisi tulikuwa tunapenda kumuita "Ticha Jembe"🤣. Yule ticha ni hatari vibaya mno, akikushushia fimbo moja tu, utatamani ardhi ipasuke uzame ndani kwa maumivu. Ticha Jembe akaanza kufanya uchunguzi wake, na kwa sababu alikuwa mtu wa mitego, haikupita hata wiki….akawa ashatudaka tayari. Nakumbuka siku hiyo ilikuwa Jumapili, Mimi na Purity kama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments