PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 03

PENZI LA JIRANI SEHEMU YA : 03

"Mwalimu, mimi sina kitu kingine chochote cha kukupa zaidi ya kukuomba msamaha tu” nilisema kwa sauti ya unyonge huku nikipiga magoti Ticha Jembe akacheka mno kana kwamba niliongea pumba "Hahaha! Acha utoto Raya! Unaniomba msamaha wa maneno tu? Mwenzako Purity mbona yuko vizuri na ana akili timamu? Mbona wewe ni mshamba ivo?" "Lakini mwalimu, hicho unachotaka nifanye sio tabia nzuri kabisa” nilijibu huku nikitetemeka. Ticha Jembe alinyanyuka kwenye kiti chake, akasogea karibu na kuinama kidogo "Hapa duniani kila kitu ni tabia mbaya Raya, Embu Njoo bwana tumalizane mapema….au unataka waje watu watukute?" "mimi sipo tayari kwa hilo….Siwezi kabisa!" nilijibu kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments