SIMULIZI KALI YA ZATIMA 5&6

SIMULIZI KALI YA ZATIMA 5&6

SEHEMU YA TANO na maisha ya boarding yakaanza. Ile kiu ya kukaa bweni ilifutika ndani ya siku mbili tu. Nilipa misi nyumbani na kuona utofauti wa maisha ya nyumbani na shuleni. Huko sikuwa natumwa wala kupewa kazi ila uwepo wa wazazi na upendo wao nilikuwa navyo mbali. Kwa kuwa ilikuwa ni sheria ya shuleni kwetu kwamba darasa la nne wote ni lazima kukaa bweni basi ilinilazimu kukaa japo sikutaka tena. Siku zilienda miezi ikakata huku wazazi nikawa naonana nao mara moja moja kwa mwezi. Hatimaye tulifika wakati wa mtihani wa kuingia darasa la tano. Nilifanya mtihani huo kwa umakini wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments