SIMULIZI KALI YA ZATIMA SEHEMU YA SABA

SIMULIZI KALI YA ZATIMA SEHEMU YA SABA

nyumbani mtakuja tukatee keki huku huku nikiwa na wenzangu." Baba akasema hapana tunakuja muda si mrefu vipi nikuletee nini apart from cake? Akasema pizza. Baba akasema hiyo mama alishasema analete bana nataka kingine ambacho sio chakula. Nikasema mim naona tu huku tukate tu keki alafu zaidi hadi mtanipatia nyumbani. Baba akasema sawa binti mzuri vumilia tunakuja. Eh nikasema okay dad bye. Nilikata simu na kurudi kukaa na wenzangu. Tulicheza na kupiga stori mbalimbali na muda ukazidi kwenda. Masa mawili yalipita ikiwa bado haujafika. nilijikuta nikikosa amani na kubaki nikijiuliza mbona hafiki kwa mara nyingine nikamfuata madam na kuomba tena simu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments