Story.......................POWER OF MONEY (NGUVU YA PESA) Sehemu......ya.........18

Story.......................POWER OF MONEY (NGUVU YA PESA) Sehemu......ya.........18

Mtunzi....................Zooper ILIPOISHIA......... Tuje kwa Carlos, alionekana barabarani akiendesha gari kwa speed kali huku ndani ya gari hiyo kwenye siti za nyuma majambazi wenzake walikuwa wakisafisha siraha zao na walionekana wakienda kufanya tukio...... ENDELEA........ kufanya tukio la hatari, safari ya Carlos pamoja na wenzake iliwapeleka kwenye makazi ya bodyguard Erick ili wakaimalizie kazi ya kumuangamiza moja kwa moja. Walifika kwenye nyumba husika na kama kawaida yao walipaki gari yao pembeni nakuanza kuangalia mazingira yalivyo. Upande wa ndani Mr Erick alikuwa ameshajiandaa kwani kwenye nyumba hiyo alitegesha cctv camera za nje na ndani. Alionekana akiwa kasimama huku kijana wake akiwa pembeni yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments