Story.......................POWER OF MONEY (NGUVU YA PESA) Sehemu......ya.........17

Story.......................POWER OF MONEY (NGUVU YA PESA) Sehemu......ya.........17

Mtunzi....................Zooper ILIPOISHIA......... Moyo siku zote ni kitu cha ajabu sana ndicho kilichomkuta Sabrina kwani alijikuta akiumia kwa maneno aliyoyatamka Nestory....... ENDELEA...... Sabrina hakutaka tena kuendelea kukaa pale aliondoka na kuahidi atakuja siku nyingine kumjulia hali. Sabrina alifika nje ya hospital hiyo nakuanza kujiuliza ni kitu gani kinachomfanya awe na wivu kiasi hicho hasa baada ya kuwaona Lulu na Nestory pamoja. "Lakini mimi ni mtoto wa Rais sitakiwi kumpenda mwanaume kama yule!" aliwaza huku akiendelea kupingana na mawazo yake mwenyewe. Na kilichokuwa kikimchanganya zaidi Sabrina ni matukio aliyowahi kufanyiwa na Nestory kwani aliona ni mwanaume anayeweza kumlinda, alikumbuka tukio alilolifanya Nestory

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments