THE BOSS Sehemu ya 71 na 72

THE BOSS Sehemu ya 71 na 72

Basi bwana ndoa ndo ikaanzia apo kati yangu na bwana avish, yani avish ni mtu amabe ni yupo kati, ni makali nikimzingua ana nikazia macho apo, anaongea mala moja tu, ila mie nasemaga mpaka basi, pia ni ana matani kwangu, ananitania kuna mda, kuna mda anacheka, ila ni mpaka atake yeye, na mie kun mda akijifanya anaijichekesha namkaushia kimya na shida yake sana uyu mwanaume ,avish ni mwanaume wa amri san yaani na anataka anapoongea mala 1 tu basi jambo lake lifanywe, ndo yupo hivyo, ila kuhusu huduma ni 100 asilimia, yani hakuwa na shidaa, na kwa mda wote uo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments