
THE HOLY PROSTITUTE SEHEMU YA 02 Kuna watu wanauliza hizi hisia za kila siku tunazitoa wapi, labda niwajibu kabla sijaendelea na kisa change kuwa, tafuta kungu manga, saga kisha pika uji wako changanya na kungu manga, ina harufu mbaya ila kunywa, alafu jipe masaa, kuna ambao hisia zinapanda chap, kuna ambao mpaka muda flani upite, haya sasa tuendelee Nilishtuka sana nikataka kumkwepa ila ni kama aliniona, akaja mpaka nilipo kisha akasema “ posh baby, nikajifanya sijasikia kwa maana jina langu la kwenye udanguro ndio hilo, nikawa naendelea kutembea, kuna mmama akapita akamuuliza “ samahn mama huyu bint anaitwa nani? “
0 Comments