THE HOLY PROSTITUTE 03

THE HOLY PROSTITUTE 03

THE HOLY PROSTITUTE SEHEMU YA 03 Alikuwa ananukia pafyumu yangu, ila wakat huo nilikuwa nimeshabadilisha nguo na nikiwa kwenyeb upande wangu wa uchamungu hata manukato sipakagi…. Nikashangaa Julius amenikumbatia kisha akasema “ naomba nisamehe sana mamaa, naomba nisamehe mno, ni tamaa tu zinaniponza ila wewe ndio mke, wewe ndio mwanamke wa maisha yangu, nakupenda aneth… “ samahan kaka Julius kwanini unaomba msamaha na wakat mimi sio mke wako wala sio mpenzi wako? Nikajifanya nauliza… akaniangalia kwa sekunde kadhaa kisha akasema “ nataman sana kukuoa , sijui kama utakubali kuwa na mimi, na kingine nataman leo kutoka kidogo na wewe, ikiwezekana

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments