
THE HOLY PROSTITUTE SEHEMU YA 04 Dada yangu akaanza kucheka kisha akasema “ safar hii umepatikana ……. Basi muda ulienda na huwa dada yangu anaondoka mapema kabla yangu, kwa maana kwanza kila mtu mtaan anajua kuwa anajiuza, ila mimi hakuna anaejua na mara nyingi huwa wananiambia kuwa niongee na dada yangu aache hizo kazi, bila kujua hata mimi nazifanya sana…. Basi mida yangu ikafika, na kama kawaida yangu nikatoka mtaan na mavazi yangu ya heshima, nikaita boda hadi kazin, nimefka kazin nikaambiwa kuna wageni wangu…. Nimefika, nikamkuta Julius, na watu wengine wawili, ila mmoja aliponiona alisimama na kusema “ wewe
0 Comments