
Francesca alimuambia crisis kuwa kumbe ok sawa sasa nimesha jua sitokuuliza ulikuwa wapi au unaenda wapi Crisis aliona Francesca anayakuza na kumuacha akamuambia naenda kazini mimi sasa Francesca alimchunia hakumjibu kitu na kisha aliinuka na kwenda chumbani Crisis aliondoka na kuelekea kazini na baadae muda ulipoisha wa kazini crisis alikuja hadi kwetu Alitukuta sebreni tunafanya hom work akaja karibu yetu na aika alipomuona baba aliinuka na kumsalimia kisha alikaa Crisis alinisalimia na kukaa kututizama tukimalizia kazi ya shule Kisha nilimuambia aika aende chumbani kwake kisha nilimshika mkono crisis na kumpeleka chumbani Nilimuandalia majimoto na kisha nilimvua nguo na kwenda nae
0 Comments